Psalms 78:59-61


59 aWakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana,
akamkataa Israeli kabisa.

60 bAkaiacha hema ya Shilo,
hema aliyokuwa ameiweka katikati ya wanadamu.

61 cAkalipeleka Sanduku la nguvu zake utumwani,
utukufu wake mikononi mwa adui.
Copyright information for SwhKC